Marais wa China na UAE washiriki katika hafla ya Utiaji Saini
2024-05-30 19:46:45| CRI

Rais Xi Jinping wa China na Rais Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ambaye yupo ziarani nchini China wameshiriki kwa pamoja katika hafla ya Utiaji Saini leo kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing.