Vita ni jambo kubwa kwa nchi, ambalo linahusu maisha ya wananchi na hatma ya nchi, ni lazima kuchukuliwa tahadhari katika kuanza vita
2024-06-03 09:49:30| CRI

Hii sentensi inatoka kwenye kitabu cha “Sanaa ya Vita” kutoka Sun Tzu, ambayo inahamasisha watu kutopigana vita ovyo.