Ligi Kuu ya Vijiji ya China yakita mizizi vijijini nchini Benin
2024-06-06 10:18:30| CRI

Karibu msikilizaji katika kipindi cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CGTN Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Katika kipindi cha leo tutakuwa na ripoti inayohusu Ligi Kuu ya Vijiji ya China yakita mizizi kwenye viwanja vya mpira wa miguu nchini Benin, na pia tutakuwa na mahojiano kutoka CGTN Idhaa ya Kiswahili Nairobi na yatazungumzia Chuo Kikuu cha Nairobi kuanza kutoa shahada ya Lugha ya Kichina.