Mto una kina kirefu ikiwa tu una chanzo
2024-06-10 12:10:11| CRI

Huu ni msemo unaomaanisha kwamba kila kitu kina asili na chanzo chake.