"Ubao mmoja hauwezi kujenga nyumba" Au "Kuni moja haiwezi kupika sadza (uji wa mahindi)"
2024-06-19 09:45:59| CRI

Hii ni misemo inayosisitiza watu kuwa wamoja na kushikamana ndio watafanikiwa.