Tunasimama katika wakati wa kuamka kwa karne ya Afrika, karne ambayo Afrika itachukua nafasi yake inayostahili duniani
2024-06-24 09:42:39| CRI

Huu ni msemo uliosemwa na Hayati Nelson Mandela ukishajihisha nchi za Afrika kuingia kwenye zama mpya.