Mkutano wa tatu wa wajumbe wote wa awamu ya 20 ya Kamati Kuu ya CPC kufanyika mwezi Julai
2024-06-27 14:49:39| cri
Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) leo imeitisha mkutano, na kuamua kwamba Mkutano wa tatu wa wajumbe wote wa awamu ya 20 ya Kamati Kuu hiyo utafanyika kuanzia tarehe 15 hadi 18 mwezi ujao.