Kampuni ya China yatumia vishikwambi vinavyotumia nishati ya jua kuongeza ujuzi wa ufundi kwa jamii za Kenya ambazo hazijaunganishwa kwenye gridi ya taifa
2024-06-27 10:50:52| CRI

Ni furaha ilioje kuwa nawe tena msikilizaji katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila Jumapili muda kama huu kupitia CGTN Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Leo hii tutakuwa na ripoti itakayohusu Kampuni ya China yatumia vishikwambi vinavyotumia nishati ya jua kuongeza ujuzi wa ufundi kwa jamii za Kenya ambazo hazijaunganishwa kwenye gridi ya taifa. Vilevile tutakuwa na mahojiano kutoka CGTN Idhaa ya Kiswahili Nairobi yatakayohusu mashindano ya Daraja la Kichina limefanyika nchini Kenya, na mshindi wa shindano hilo anatarajiwa kuiwakilisha Kenya katika fainali zitakazofanyika hapa China.