Rais wa China ahudhuria Mkutano wa Kuadhimisha miaka 70 tangu kutolewa kwa Kanuni Tano za Kuishi Pamoja kwa Amani
2024-06-28 10:45:01| cri

Rais Xi Jinping wa China leo amehudhuria Mkutano wa Kuadhimisha miaka 70 tangu kutolewa kwa Kanuni Tano za Kuishi Pamoja kwa Amani uliofanyika hapa Beijing, na kutoa hotuba muhimu.