Kuwezesha wanawake wa Kenya kwavunja vizuizi katika ujenzi wa Bwawa la Thwake
2024-07-04 10:16:35| CRI

Habari za wakati huu msikilizaji na karibu kwenye kipindi cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CGTN Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Katika kipindi chetu cha leo tutakuwa na ripoti inayohusu kuwezesha wanawake wa Kenya kwavunja vizuizi katika ujenzi wa Bwawa la Thwake, lakini pia tutakuwa na mahojiano kutoka CGTN Idhaa ya Kiswahili Nairobi yatakayohusu mambo ambayo vyama vya kisiasa vya nchi za Afrika yanaweza kujifunza kutoka kwa utawala wa Chama cha Kikomunisti cha China, CPC.