Rais Xi Jinping wa China leo huko Astana amehudhuria mkutano wa Baraza la wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO). Kwenye mkutano huo, viongozi wa nchi wanachama wamesaini azimio la kuikubali Belarus kuwa mwanachama wa SCO.