Kuzaliwa upya kwa Afrika si jambo la kufikirika tena. Mbegu zake zimepandwa katika maeneo yote ya Afrika na bara zima la Afrika.
2024-07-15 09:14:05| CRI

Huu ni msemo unaoashiria kwamba Afrika ni mpya sasa na sio ile ya kale.