Jukwaa la ushirikiano wa kuhifadhi wanyamapori la China na Kenya laanzishwa Nairobi.
2024-07-18 16:40:41| Cri

Kipindi cha Daraja kinachokujia kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) kinakufahamisha mambo mbalimbali kuhusu uhusiano, ushirikiano na mawasiliano kati ya China na Afrika. Katika kipindi cha leo, licha ya habari za wiki hii zilizohusisha China pamoja na nchi za Afrika, tutakuwa na ripoti ya Jukwaa la ushirikiano wa kuhifadhi wanyamapori la China na Kenya laanzishwa Nairobi, pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi.