Makundi makuu ya Palestina yasaini Azimio la Beijing
2024-07-23 15:45:04| cri

Wawakilishi wa makundi 14 ya Palestina yakiwemo Fatah na Hamas walifanya mazungumzo ya maelewano ya ndani kuanzia tarehe 21 hadi 23 Julai mjini Beijing, na kusaini Azimio la Beijing linalolenga kumaliza migawanyiko kati yao na kuimarisha umoja wa kitaifa wa Palestina.