Xi afanya mazungumzo na rais wa Timor-Leste
2024-07-29 14:40:08| cri

Rais Xi Jinping wa China amefanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Timor-Leste Jose Ramos-Horta Jumatatu hapa mjini Beijing.