Njia ya muongo ni fupi
2024-07-29 09:24:05| CRI

Msemo huu unamaanisha kuwa njia za mkato ni hatari maishani na uaminifu na ukweli ni muhimu pia katika maisha.