Meya wa Madrid Martínez-Almeida jana tarehe 29 Julai alikutana na mkuu wa Shirika Kuu la Utangazaji la China CMG Bw. Shen Haixiong, mjini Madrid, Hispania, ambapo pande mbili zimefanya mawasiliano ya kina kuhusu kuzidisha ushirikiano wa kunufaishana na kuhimiza urafiki kati ya nchi hizo mbili.