Changamoto ya uongozi ni kuwa hodari lakini sio mkorofi, mkarimu lakini sio dhaifu, mwenye mawazo lakini sio mvivu, mwenye ujasiri lakini asiye na kiburi, mnyenyekevu lakini sio aibu, mwenye kujivunia lakini asiye na kiburi, mwenye ucheshi lakini asionekane mjinga
2024-08-12 14:16:09| CRI
Huu ni msemo uliotolewa na Jim Rohn ukielekeza viongozi kuwa waadilifu na wema.