China na Afrika zakumbatia uhusiano wa karibu wa kiuchumi na kibiashara
2024-08-22 10:11:40| CRI

Hujambo msikilizaji na karibu katika kipindi cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CGTN Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Katika kipindi cha leo tutakuwa na ripoti inayohusu China na Afrika zakumbatia uhusiano wa karibu wa kiuchumi na kibiashara, na pia tutakuwa na mahojiano yatakayozungumzia shughuli ya kwanza ya uenezi ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) barani Afrika kuhusu Mkutano wa 3 wa Wajumbe Wote wa Kamati Kuu ya 20 ya CPC iliyofanyika hivi karibuni nchini Tanzania.