Idara ya fedha ya wizara ya biashara ya China iliandaa mkutano kuhusu kuongeza ushuru wa uagizaji wa magari yanayaotumia mafuta mengi
2024-08-23 23:39:56| cri

Idara ya fedha ya wizara ya biashara ya China iliandaa mkutano tarehe 23 ili kusikiliza mapendekezo ya wataalamu na wadau wa sekta husika kuhusu kuongeza ushuru wa uagizaji wa magari yanayaotumia mafuta mengi. Wawakilishi kutoka mashirika ya sekta usika, taasisi za utafiti na makampuni ya magari walihudhuria mkutano huo.