Ushirikiano kati ya China na Afrika katika uchumi na biashara wafikia kiwango kipya cha juu
2024-08-29 10:49:59| CRI

Hujambo msikilizaji na karibu katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CGTN Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Leo hii tutakuwa na ripoti inayohusu ushirikiano kati ya China na Afrika katika uchumi na biashara wafikia kiwango kipya cha juu, pia tutakuwa na mahojiano kutoka CGTN Idhaa ya Kiswahili Nairobi na yatazungumzia hafla ya kuwaaga wanafunzi wa Kenya waliopata ufadhili wa kuendelea na masomo ya juu hapa nchini China.