Xi akutana na rais wa Comoro
2024-09-02 15:12:42| cri

Rais Xi Jinping wa China leo amekutana na rais Azali Assoumani wa Coromo, ambaye yuko hapa Beijing kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024.