Xi akutana na rais wa Msumbiji
2024-09-04 15:52:19| cri

Rais Xi Jinping wa China leo amekutana na mwenzake wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi ambaye yuko Beijing kuhudhuria mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC wa mwaka 2024.