Xi akutana na rais wa Zambia
2024-09-04 14:34:21| cri

Rais Xi Jinping wa China Jumatano amekutana na Rais wa Zambia Hakainde Hichilema, ambaye yuko Beijing kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024.