Xi akutana na rais wa Guinea ya Ikweta
2024-09-04 11:00:31| cri

Rais Xi Jinping wa China leo amekutana na rais Teodoro Obiang Nguema Mbasogo wa Guinea ya Ikweta ambaye yuko Beijing kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC kwa mwaka wa 2024.