Xi akutana na waziri mkuu wa Ethiopia
2024-09-04 14:43:22| cri

Rais Xi Jinping wa China leo amekutana na Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, ambaye yuko Beijing kuhudhuria Mkutano wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024.