Xi akutana na rais wa Sierra Leone
2024-09-04 11:01:05| cri

Rais Xi Jinping wa China leo amekutana na rais Julius Maada Bio wa Sierra Leone ambaye yuko Beijing kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC kwa mwaka wa 2024.