Xi akutana na mkuu wa Umoja wa Mataifa
2024-09-05 14:19:24| cri

Rais Xi Jinping wa China leo Alhamisi amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UM) Antonio Guterres, ambaye yuko Beijing kuhudhuria Mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC).