Rais Xi Jinping wa China leo amekutana na mwenzake wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud ambaye yuko Beijing kuhudhuria mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na FOCAC. Viongozi hao wawili wametangaza kuinua uhusiano kati ya China na Somalia kuwa uhusiano wa kwenzi na kimkakati.