Ni furaha kubwa kuwa na marafiki kutoka mbali
2024-09-09 10:22:50| CRI

Huu ni msemo wa mwanafalsafa wa China Confucius unaoonesha ukarimu wa watu wa kukaribisha wageni wao.