Mla ndizi husahau, ila mtupiwa ganda hasahau
2024-09-23 16:47:54| CRI

Huu ni msemo unaotufahamisha kwamba chochote kile unachomfanyia binadamu kiwe kizuri ama kibaya kamwe hatasahau.