Fengyoujing, ambayo ni bidhaa ya jadi ni maarufu sana barani Afrika. Watu wa Afrika wanaipenda dawa hii ya miujiza ambayo hutuliza akili, hufukuza mbu na kupunguza muwasho, na huiita "Mafuta ya Miujuza toka Mashariki". "Dawa hii imetoka wapi?" Watu wengu wa Afrika wanajiuliza swali hili. Katika filamu hii, mwanamtandao mashuhuri wa Tanzania, anatembelea kampuni inayotengeneza dawa ya Fengyoujing huko Zhangzhou, ili kujua zaidi kuhusu Fengyoujing na kupata uzoefu wa mchakato wa uzalishaji. Anafichua athari zenye miujiza za Fengyoujing kwa watazamaji wa Afrika na kuonyesha ulinzi, urithi na maendeleo ya dawa za jadi za Kichina. Huu ni ubunifu.