Bora mtu akupe mshipi wa kuvulia kuliko kukupa samaki
2024-10-07 10:38:52| CRI

Huu ni msemo unaohamasisha watu kwamba ni bora kupewa njia za kutatua tatizo kuliko kutatuliwa tatizo.