Safari ya maili elfu huanza kwa hatua moja
2024-10-07 10:51:31| CRI

Huu ni msemo unaotokana na methali ya Kichina ambao unafundisha kwamba hata safari iwe ndefu na ngumu vipi lazima ina mahali pa kuanzia, kitu ambacho huanza na hatua moja ya kwanza.