Rais wa China kufanya ziara nchini Russia na kuhudhuria mkutano wa 16 wa viongozi wa nchi za BRICS
2024-10-18 19:31:06| cri

Kutokana na mwaliko wa rais Vladimir Putin wa Russia, rais Xi Jinping wa China Oktoba 22 hadi 24 atafanya ziara huko Kazan, Russia na kuhudhuria mkutano wa 16 wa viongozi wa nchi za BRICS.