Bunge la Taifa la Kenya lamuidhinisha Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais mpya
2024-10-21 10:56:00| cri

Maseneta wa Kenya walipiga kura tarehe 17 mwezi huu ya kumwondoa naibu rais Rigathi Gachagua ofisini kutokana na kushindwa kutoa ushahidi wake katika kesi ya kuondolewa madarakani baada ya wakili wake kuripoti kuwa tayari amepelekwa hospitalini. Rais William Ruto wa nchi hiyo tayari amemteua waziri wa mambo ya ndani Kithure Kindiki kuwa naibu rais wa Kenya.