Xi aelekea Russia kuhudhuria Mkutano wa 16 wa wakuu wa BRICS
2024-10-22 13:37:42| cri

Rais Xi Jinping wa China ameondoka Beijing leo Jumanne kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 16 wa wakuu wa nchi za BRICS mjini Kazan, Russia, kutokana na mwaliko wa Rais Vladimir Putin wa Russia.