Rais Xi Jinping wa China amefanya mazungumzo na rais Vladmir Putin wa Russia
2024-10-23 01:11:27| CRI


Tarehe 22 alasiri, rais Xi Jinping wa China amefanya mazungumzo na mwenzake wa Russia Vladmir Putin huko Kazan, nchini Russia.