Mtu mwema anapojitahidi kujiimarisha na kutafuta mafanikio, huwa anawasaidia wengine kujiimarisha na kufanikiwa
2024-11-25 10:29:48| CRI

Huu ni msemo unaotufunza kwamba unapojitahidi kutafuta mafanikio yako binafsi, basi kupitia mafanikio yako pia unaweza kuwanufaisha wengine.