• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Oktoba 8-Oktoba 14)

    (GMT+08:00) 2016-10-14 20:39:49

    Meli ya kijeshi ya Marekani yarusha makombora dhidi ya vituo vya rada vya kundi la Houthi nchini Yemen

    Wizara ya ulinzi ya Marekani imetoa taarifa ikisema, meli ya kijeshi ya Marekani ilirusha makombora dhidi ya vituo vya rada vilivyoko kwenye eneo linalodhibitiwa na kundi la Houthi nchini Yemen. Hii ni mara ya kwanza kwa Marekani kufanya mashambulizi ya moja kwa moja dhidi ya kundi hilo.

    Wizara ya ulinzi ya Marekani imesema, operesheni hiyo imeidhinishwa na rais Barack Obama. Tathmini ya mwanzo inaonesha kuwa vituo vilivyoshambuliwa vya kundi la Houthi vimeharibiwa.


    1 2 3 4 5 6 7 8
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako