• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Novemba 12-Novemba 18)

    (GMT+08:00) 2016-11-18 18:38:21

    Zaidi ya 73 wafariki baada ya lori kulipuka Msumbiji

    Watu wasiopungua 73 wamefariki baada ya lori la mafuta kulipuka nchini msumbij, wanasema maafisa.

    Lori hilo lilikuwa limepata ajali.

    Taarifa ya serikali inasema watu hao walikuwa wanajaribu kuteka mafuta ya petroli kutoka kwa lori hilo lilipolipuka katika kijiji cha Caphiridzange mkoa wa Tete karibu na mpaka wa Malawi.

    waziri wa habari Joao Manasses anasema zaidi ya watu wengine 100 wamejeruhiwa


    1 2 3 4 5 6 7 8
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako