• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Novemba 19-Novemba 25)

    (GMT+08:00) 2016-11-25 18:24:03

    Trump kutofanya uchunguzi zaidi juu ya suala la barua pepe la Hillary Clinton

    Serikali ya rais mteule wa Marekani Bw Donald Trump haitafanya uchunguzi zaidi dhidi ya mgombea urais wa chama cha Democrat Bibi Hillary Clinton kutokana na kushughulikia nyaraka za kiofisi kwa kupitia barua pepe binafsi.

    Mbali na hayo, serikali yake pia haitafanya uchunguzi kuhusu ufadhili kutoka nchi za nje kwa mfuko wa Clinton wakati Bibi Hillary akiwa waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.


    1 2 3 4 5 6 7 8
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako