• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Novemba 19-Novemba 25)

    (GMT+08:00) 2016-11-25 18:24:03

    Watu saba wakamatwa kwa kupanga kushambulia vituo vya polisi na mahali pa umma nchini Ufaransa

    Watu saba wamewekwa kizuizini nchini Ufaransa wiki hii kutokana na kupanga kufanya mashambulizi dhidi ya vituo vya polisi na bustani ya umma nchini Ufaransa.

    Mtuhumiwa mmoja amesema walipanga kushambulia vituo vya polisi kusini na mashariki mwa Ufaransa. Wanamue wawili walikamatwa wikiendi iliyopita mjini Marseille, na watuhumiwa wengine wanne wamekamatwa mjini Strasbourg, ambako duka kubwa kabisa kwa ajili ya sikukuu ya Krismas linatarajiwa kufunguliwa.

    Watuhumiwa hao saba wanatoka Ufaransa, Morocco na Afghanistan. Hadi sasa watu 418 wamekamatwa nchini humo kufuatia operesheni za usalama.


    1 2 3 4 5 6 7 8
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako