• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Novemba 19-Novemba 25)

    (GMT+08:00) 2016-11-25 18:24:03

    Uturuki yafuta mswada wa sheria kuhusu ukatili wa kingono dhidi ya wasichana wadogo

    Kamati ya Bunge la Uturuki imefuta mswada wa sheria kuhusu ukatili wa kingono dhidi ya wasichana wadogo, kufuatia upinzani mkali kutoka vyama vya upinzani na mashirika yasiyo ya kiserikali.

    Mswada huo uliopendekeza kuruhusu kuwasamehe baadhi ya wanaume waliowabaka wasichana wadogo kama watawaoa wahanga, umesababisha hasira kubwa kote nchini Uturuki.


    1 2 3 4 5 6 7 8
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako