• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Novemba 26-Desemba 2)

  (GMT+08:00) 2016-12-02 20:11:26

  Ndege iliokuwa imebeba abiria 81 wakiwemo wachezaji wa Brazil yaanguka

  Ndege ya kukodi iliokuwa imebeba abiria 81 wakiwemo wachezaji wa klabu ya soka ya Brazil imeanguka karibu na eneo la MedellĂ­n, nchini Colombia.

  Ni watu sita tuwalionusurika ajali hiyo ya Jumanne.

  Mamlaka ya usafiri wa ndege nchini Colombia imesema walionusurika nipamoja na wachezaji watatu, wahudumu wawili na mwandishi mmoja wahabari.

  Kwa muujibu wa taarifa kwenye kifaa cha kurekodia mawasiliano ndege hiyo iliishiwa mafuta kutoka katika

  Katika mnara wa mawasiliano ya ndege , rubani alisikika akirudia mara kadhaa akiomba ruhusa ya kutua kwa dharura kutokana na hitilafu ya umeme iliyokuwama.


  1 2 3 4 5 6 7 8 9 10
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako