• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Novemba 26-Desemba 2)

  (GMT+08:00) 2016-12-02 20:11:26
   

  Hollande asema hatagombea urais wa mwaka 2017

  Rais Francois Hollande wa Ufaransa amesema hatagombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka kesho, kutokana na kushindwa kutimiza ahadi yake ya kupunguza idadi ya watu wasio na ajira, na kuwa na kiwango cha chini cha uungaji mkono.

  Uamuzi wa rais Hollande wa kutogombea tena urais ni mara ya kwanza katika historia ya Ufaransa.


  1 2 3 4 5 6 7 8 9 10
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako