• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Disemba 3-9)

    (GMT+08:00) 2016-12-09 22:02:10

    Mgomo wa wafanyakazi wa afya Kenya waendelea huku wafanyakazi wengine wakijiunga

    Mgomo wa wafanyakazi wa sekta ya afya kwenye hospitali za umma nchini Kenya unaendelea kusababisha hali ngumu, huku wafanyakazi wa afya wa hospitali binafsi, taasisi za kidini na huduma nyingine za afya nao wakitishia kugoma.

    Katibu mkuu wa chama cha madaktari na wafamasia cha Kenya Bw Frederick Oluga, amesema kama serikali haitatatua matatizo ya wafanyakazi hao kabla ya jumatatu, huduma zote za afya zitafungwa. Chama hicho kimelalamika kuwa, badala ya kuonyesha nia njema ya kutatua mgogoro kwa njia ya mazungumzo, serikali imekuwa inatoa vitisho.

    Kufuatia mgomo ulioanza tangu jumatatu, hadi sasa wagonjwa 20 wamefariki du

     

    1 2 3 4 5 6 7
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako