• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Disemba 10-16)

    (GMT+08:00) 2016-12-16 18:43:15

    Bunge la Ufaransa larefusha hali ya hatari kote nchini hadi mwezi wa Julai mwakani

    Bunge la Ufaransa limepitisha mswada wa kurefusha hali ya dharura nchini Ufaransa hadi mwezi Julai mwakani.

    Waziri wa mambo ya ndani wa Ufaransa Bw. Bruno Le Roux ameliambia bunge kuwa ingawa makundi ya kigaidi yamepata pigo kubwa barani Afrika na sehemu za Mashariki ya Kati, lakini kiwango cha hatari ya matishio ya ugaidi bado hakijapungua.

    Amesisitiza kuwa katika uchaguzi wa rais utakaofanyika mwezi wa Aprili hadi Mei mwakani na uchaguzi wa bunge utakaofanyika mwezi wa Juni, Ufaransa itakabiliwa na hatari kubwa.


    1 2 3 4 5 6 7 8 9
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako