• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Disemba 24-30)

    (GMT+08:00) 2016-12-30 18:11:36

    Mabaki makubwa ya ndege ya Russia iliyoanguka na miili ya watu vyapatikana

    Shirika la Habari la Russia RIA Novosti limesema, mabaki makubwa ya ndege ya jeshi la Russia iliyoanguka katika Bahari Nyeusi yametolewa katika maji.

    Waokoaji wa Russia wamemaliza sehemu muhimu ya operesheni ya uokoaji katika eneo ilipoanguka ndege hiyo, ambapo miili 19 ilipatikana kwenye eneo hilo na kupelekwa Moscow kwa ajili ya utambuzi na vipimo vya jeni.

    Ndege hiyo ya jeshi la Russia aina ya Tu-154 ilikuwa na watu 92 wakiwemo wafanyakazi 8 wakati ajali hiyo ilipotokea.


    1 2 3 4 5 6 7 8
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako