• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (10 Julai-14 Julai)

  (GMT+08:00) 2017-07-14 19:26:47

  Jeshi la Marekani lasema bado haliwezi kuthibitisha kifo cha kiongozi wa kundi la IS

  Jeshi la Marekani limesema bado haliwezi kuthibitisha kifo cha kiongozi mkuu wa kundi la IS Abu Bakr al-Baghdadi.

  Jeshi la Marekani pia limesema, mwezi uliopita vyombo vya habari vya Russia vilitoa habari kuwa huenda al-Baghdadi aliuawa kwenye mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi la Russia nchini Syria, lakini habari lilizopata jeshi la Marekani zilionesha kuwa, Al-Baghdadi hakuuawa kwenye mashambulizi hayo.

  Vyombo vya habari vya Iraq vilisema, kundi la IS limekiri kifo cha Bw Al-Baghdadi, na kundi hilo litachagua kiongozi mpya baadaye.

  1  2  3  4  5  6  7  8  9  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako